ARUSHA : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimepitisha madiwani 160 kupeperusha bendera ya chama hicho katika majimbo saba ya mkoa huo kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. The post CCM Arusha yapitisha madiwani 160 kugombea first appeared on HabariLeo .