ACT Wazalendo yatangaza wagombea ubunge11 Moro

MOROGORO : CHAMA cha ACT Wazalendo Mkoa wa Morogoro kimetangaza wagombea wa nafasi ya ubunge kwenye majimbo 11 ya mkoa huo kwa ajili ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu. The post ACT Wazalendo yatangaza wagombea ubunge11 Moro first appeared on HabariLeo .