Mwili wakutwa kwenye bwawa Kahama

Bwawa la Nyihogo lililopo katika kata ya Nyihogo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, ambalo mwili wa mwanaume ambae hajajulikana jina wala makaazi yake umekutwa ukielea.