Maofisa Waandamizi Jeshi la Polisi wajipanga kuimarisha amani

DODOMA : MAOFISA Waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini wameazimia kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote atakayejaribu kuvunja amani ya nchi. The post Maofisa Waandamizi Jeshi la Polisi wajipanga kuimarisha amani first appeared on HabariLeo .