Komandoo Kalala kuja na kibao kuhamasisha vijana uchaguzi

DAR-ES-SALAAM : KIJIWENI leo tunakutana na mkongwe wa muziki wa dansi, Komandoo Hamza Kalala akiwa kwenye Kituo cha Runinga cha UTV na gitaa lake. The post Komandoo Kalala kuja na kibao kuhamasisha vijana uchaguzi first appeared on HabariLeo .