Kampuni inayoongoza barani Afrika katika huduma za usafiri kwa njia ya mtandaoni, Bolt Tanzania, imemtangaza Juju Kida kuwa mshindi wa kwanza wa shindano lake la Bolt TZ Dance Challenge, lililofanyika kuanzia Julai hadi tarehe 25 Agosti. Shindano hili lililojumuisha muziki, ngoma na tamaduni, limevutia mamia ya washiriki kutoka maeneo mbalimbali nchini, likidhihirisha ubunifu na …