Wakati mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi akiwaahidi wana Busega, mkoani Simiyu miradi mbalimbali, wananchi nao wamekitaka chama hicho kuzitekeleza kwa vitendo.