Sababu wanawake kuwa vinara wa mikopo

Kwa mara ya kwanza nchini, wanawake wanamiliki akaunti za mikopo ya kidijitali nyingi zaidi kuliko wanaume, jambo linalowafanya kuwa wakopaji wakuu katika sekta ya teknolojia ya fedha inayokua kwa kasi.