Askofu: Tukatae rushwa Uchaguzi Mkuu

TANGA : KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki limetoa wito kwa wananchi kukataa rushwa za wagombea kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. The post Askofu: Tukatae rushwa Uchaguzi Mkuu first appeared on HabariLeo .