Bakwata yatahadharisha chuki, visasi uchaguzi mkuu 2025

DODOMA :BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Dodoma limevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu viimarishe umoja badala ya kuwekeana visasi, chuki na uadui. The post Bakwata yatahadharisha chuki, visasi uchaguzi mkuu 2025 first appeared on HabariLeo .