Mwanahabari apitishwa udiwani Handeni

HANDENI : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Handeni mkoani Tanga kimetangaza majina ya wagombea udiwani. Mwandishi wa habari na mdau wa maendeleo wilayani humo, Kambi Mbwana amepitishwa kugombea nafasi hiyo ya udiwani katika Kata ya Kwamatuku. The post Mwanahabari apitishwa udiwani Handeni first appeared on HabariLeo .