CCM yataka viwanda vichangie 25% pato Z’bar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaielekeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) iongeze mchango wa sekta ya viwanda katika Pato la Taifa kutoka asilimia 20.8 hadi asilimia 25. The post CCM yataka viwanda vichangie 25% pato Z’bar first appeared on HabariLeo .