DAR-ES-SALAAM : OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia barua Chama cha ACT Wazalendo kikitaka maelezo kuhusiana na malalamiko yaliyowasilishwa na mwanachama wake, Monalisa Ndala, anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho. The post Msajili ahoji maelezo ugombea wa Mpina first appeared on HabariLeo .