Waandishi watakiwa kuithibitishia dunia Tanzania ni nchi ya amani

MBEYA : SERIKALI imesema waandishi wa habari wana jukumu la kuithibitishia dunia kuwa Tanzania ni taifa lenye umoja, amani na utulivu. The post Waandishi watakiwa kuithibitishia dunia Tanzania ni nchi ya amani first appeared on HabariLeo .