TCRA yatoa mwongozo SMS za Uchaguzi Mkuu

DAR-ES-SALAAM : MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa mwongozo kuhusu usambazaji wa maudhui na arafa (ujumbe mfupi kwa simu za mkononi) za mkupuo kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. The post TCRA yatoa mwongozo SMS za Uchaguzi Mkuu first appeared on HabariLeo .