Wanahabari wapatiwa mafunzo kuelekea Uchaguzi Mkuu

DODOMA : WANAHABARI wa Mkoa wa Dodoma wamepatiwa mafunzo ya usalama wa kimwili, kidijiti na afya ya akili kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mafunzo hayo yametolewa kupitia Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) na Shirika la Maendeleo la Uswisi (SDC). Mwezeshaji kutoka Klabu … The post Wanahabari wapatiwa mafunzo kuelekea Uchaguzi Mkuu first appeared on HabariLeo .