NLD kuunganisha vijiji 5,000 maji ya bomba

DAR-ES-SALAAM : CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimesema serikali yake itaunganisha zaidi ya vijiji 5,000 kwenye huduma ya maji ya bomba kufikia mwaka 2030. Kwa mujibu wa Ilani ya Uchaguzi ya NLD 2025-2030, chama hicho pia kitajenga visima virefu, mabwawa ya maji ya mvua na vituo vya kuchotea maji karibu na makazi ya … The post NLD kuunganisha vijiji 5,000 maji ya bomba first appeared on HabariLeo .