ZANZIBAR : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaielekeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kujenga bandari mbili kubwa za uvuvi Ngalawa, Unguja na Shumba Mjini, Pemba. Kwa mujibu wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025-2030, uvuvi utaendelea kuwa sekta ya kipaumbele katika kuongeza ajira na kukuza uchumi. Ilani imeeleza SMZ pia itaelekezwa kujenga masoko makubwa mawili … The post CCM yataka bandari za uvuvi Unguja, Pemba first appeared on HabariLeo .