Samamba asisitiza ujenzi wa viwanda vya uongezaji thamani ya madini nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba, ametoa wito kwa watendaji wa Tume ya Madini nchini kuhamasisha ujenzi wa viwanda vya uongezaji thamani ya madini ili kuongeza ajira, kukuza fursa za kiuchumi na kuimarisha mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa. Akizungumza leo, Oktoba 15, 2025, jijini Tanga katika kikao cha …