Mradi wa bil 96/- wazinduliwa kukabili magonjwa ya mlipuko

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amezindua mradi wa dunia wa kukabiliana na magonjwa ya mlipuko nchini na kuzitaka wizara zote, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na taasisi kutekeleza shughuli za kipaumbele katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko na dharura za kiafya. Dk Biteko ametoa agizo hilo … The post Mradi wa bil 96/- wazinduliwa kukabili magonjwa ya mlipuko first appeared on HabariLeo .