Oburu ateuliwa kiongozi mpya wa ODM

Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimechagua Seneta wa Siaya, Oburu Odinga, kuwa kaimu kiongozi wa chama baada ya  kifo cha kaka yake Raila Odinga . “Kamati Kuu ya Kitaifa (NEC) ilikutana asubuhi hii na kwa pamoja ilikubaliana kumteua Seneta wa Kaunti ya Siaya, Dkt Oburu Odinga, kuwa kaimu kiongozi wa chama.Uteuzi huu unaanza mara moja,” taarifa ya ODM ilisema. Habari zaidi zitafuata...