MTWARA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeelekeza nguvu zake katika utoaji wa elimu kwa wananchi kuhusu miradi inayotarajiwa kutekelezwa kwa lengo la kuifanya kuwa na ufanisi kwa wazawa na taifa kwa ujumla. Mamlaka hiyo imetoa msisitizo huo Oktoba 15, 2025 katika Kijiji cha Ruvula, mkoani Mtwara, wakati wa zoezi la utoaji wa … The post PURA yaweka msisitizo elimu miradi kwa wananchi first appeared on HabariLeo .