Kampeni kufuta taarifa za kizushi iwe endelevu

KATIKA dunia ya sasa yenye kasi kubwa ya teknolojia, mawasiliano yamekuwa rahisi kupitia simu janja, mitandao ya kijamii na majukwaa ya kidijiti. Hata hivyo, maendeleo haya yamekuja pia na changamoto kubwa ya kuenea kwa taarifa za uzushi, potofu na zisizothibitishwa. Ni jukumu la kila mwananchi kuhakikisha anaelewa athari za kusambaza taarifa hizo na kuchukua hatua … The post Kampeni kufuta taarifa za kizushi iwe endelevu first appeared on HabariLeo .