Urais wa Mpina ndio basi tena!

Ni mwisho wa safari ya Luhaga Mpina kusaka urais? Ni swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa baada ya Mahakama Kuu kuitupa kesi ya kikatiba, aliyofungua yeye na bodi ya Wadhamini wa ACT-Wazalendo dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.