Kishindo kampeni za lala salama

Safari ya kunadi sera na kuomba ridhaa kwa Watanzania ili watoe nafasi kwa mgombea mmoja kati ya 18 wa urais kuiongoza Tanzania, imefika hatua za lala salama, baada ya kusalia siku 13.