Lissu alivyoendelea kumuhoji shahidi upande wa mashtaka, kesi ya uhaini

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu, imeendelea jana Oktoba 15, 2025, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, ambapo aliendelea kumuhoji shahidi wa upande wa mashtaka, John Kahaya, kuhusu ushahidi unaohusiana na video ya mkutano wake uliofanyika Aprili 3, 2025. Kesi hiyo, ambayo jana …