CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA,) kitaendeleza mpango wa utoaji ruzuku ya fedha ili kusaidia watafiti wachanga wa ndani ya chuo ili kuinua na kukuza umahili wao na kuboresha miundombinu ya chuo hicho. Katika kuendeleza mpango huo , chuo hicho kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026 kimetenga kiasi cha Sh bilioni 1. Makamu Mkuu … The post Profesa Chibunda: Utafiti ni nguzo ya maendeleo first appeared on HabariLeo .