Kim Kardashian Afunguka Sababu za Talaka na Kanye West

Mwigizaji na mfanyabiashara maarufu Kim Kardashian hatimaye ameeleza kwa kina kilichomsukuma kuachana na rapa Kanye West, baada ya miaka minane ya ndoa. Akizungumza katika kipindi cha “Call Her Daddy” kilichoongozwa na Alex Cooper, Kim, mwenye umri wa miaka 44, alisema kulikuwa na mambo mengi ambayo hakuweza kuvumilia tena kwenye ndoa yao. “Sikupenda kuona mtu akiongea […]