Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Utalii imeendelea kujiimarisha kisheria kwa kuwajengea uwezo Maafisa wake kupitia mafunzo maalum kuhusu Sheria na Kanuni za Usimamizi wa Biashara za Utalii nchini. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo jijini Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi wa Sehemu ya Huduma za Utalii na Udhibiti Ubora, Richie Wandwi, amesema lengo ni kuongeza […]