Trump Aidhinisha Msaada wa Dola Bilioni 20 kwa Argentina

Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri wazi kuwa msaada wa kifedha wa dola bilioni 20 uliotolewa na Marekani kwa Argentina una lengo la kusaidia chama cha Rais Javier Milei kushinda uchaguzi wa bunge unaotarajiwa kufanyika Oktoba 26. Akizungumza Ikulu ya White House Jumanne, akiwa na kiongozi huyo wa kiliberali kutoka Argentina, Trump alisema Marekani haitapoteza […]