Vitambulisho vipya vya JAB ni hatua ya kuimarisha taaluma ya uaandishi wa habari

Vitambulisho vipya vya kidijitali vinavyoendelea kutolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) vimepokelewa kwa furaha na matumaini makubwa na waandishi wa habari nchini. Hatua hii imeelezwa kuwa ni mwanzo wa mwelekeo mpya wa tasnia ya habari nchini Tanzania. Waandishi wengi wa habari wamepongeza hatua hiyo, wakieleza kuwa utoaji wa vitambulisho hivyo unarejesha …