DAR ES SALAAM: Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimeendesha Kongamano la 15 la Afya ya Kinywa na Meno likilenga kuimarisha uelewa wa jamii kuhusu umuhimu wa utunzaji wa afya ya kinywa na meno, sambamba na kutoa mapendekezo ya kisera kwa Serikali ili kuboresha huduma hizo nchini. Kongamano hilo limewakutanisha wataalamu wa … The post Mikakati yasukwa kuboresha afya kinywa na meno first appeared on HabariLeo .