MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwa serikali yake itaendelea kuwajali wananchi wote bila ubaguzi wa imani, asili au kundi la kijamii, akisisitiza kuwa “wote ni Wazanzibari.” The post Mwinyi: Hakuna Atakayebaguliwa, Wote Ni Wazanzibari first appeared on HabariLeo .