Dalili gesi asilia zaonekana kitalu cha Lindi – Mtwara

MTWARA: UTAFITI unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa gesi asilia, hususani katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, ambapo visima vya maji vilibainika kuvujisha gesi asilia. Utafiti huo unajumuisha jumla ya vijiji 48 katika eneo la takriban kilomita za mraba 736 ambapo vijiji 40 vinatoka katika Halmashauri ya Wilaya … The post Dalili gesi asilia zaonekana kitalu cha Lindi – Mtwara first appeared on HabariLeo .