Nyota wa Paris Saint-Germain, Ousmane Dembele, ameiomba klabu yake kumpa mkataba mpya na ongezeko la mshahara linalolingana na hadhi yake mpya kama mshindi wa Ballon d’Or 2025. Kwa sasa Dembele analipwa takribani euro milioni 18 (shilingi bilioni 52 za Kitanzania) kwa mwaka na bado ana mkataba unaomfunga na PSG hadi mwaka 2028. Hata hivyo, baada […]