Simba yatambulisha kocha mpya kuwanoa Camara, Yakoub

Simba SC imemtambulisha kocha mpya ambaye atakuwa anawanoa makipa watimu hiyo kwa msimu wa 2025/26 kwenye mechi za ushindani. Anaitwa Vitomir Vutov ametambulishwa rasmi kuwa kocha wa timu hiyo yenye maskani yake Kariakoo mtaa wa Msimbazi. Ni Hussen Abel, Moussa Camara na Yakoub Suleiman haw ani makipa wa Simba SC watanolewa na mwalimu huyu mpya […]