Leo, Vodacom Tanzania PLC kwa ushirikiano na Bolt, Kampuni inayotoahuduma za usafiri kwa njia ya mtandao, wamezindua hudumampya inayowapa wateja thamani zaidi katika kila safari wanayofanya. Kupitia Tuzo Points, wateja wa Vodacom sasawanaweza kutumia pointi walizopata kupata punguzo la beikwenye safari za Bolt wakileta pamoja nguvu ya teknolojia, urahisi wa usafiri, na maisha ya kila …