Serikali, AGRA zajikita tathmini athari za tabianchi kuimarisha kilimo nchini
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwa kushirikiana na AGRA na Mathematica Global imezindua warsha ya uhakiki wa tathmini ya uwezekano wa mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.