Wenje: Siwezi kuzama huku ninaona

KAGERA: KADA mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezikia Wenje amesema hajutii uamuzi wake wa kujiunga na chama hicho kwani amejionea kwa vitendo mambo makubwa yaliyofanywa na chama hicho kwa siku nne alizokaa CCM.   Akizungumza leo Oktoba 16, Mjini Bukoba mkoani Kagera wakati wa mkutano wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi … The post Wenje: Siwezi kuzama huku ninaona first appeared on HabariLeo .