TOSCI yatoa elimu kutambua mbegu bandia

TAASISI ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imeendelea kutoa elimu kwa wananchi, wakulima na wadau wa sekta ya kilimo kuhusu utambuzi wa mbegu bora, taratibu za usajili wa wazalishaji wa mbegu, pamoja na namna ya kuepuka mbegu bandia sokoni. The post TOSCI yatoa elimu kutambua mbegu bandia first appeared on HabariLeo .