Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, umewasili nchini Kenya leo asubuhi kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), ukitokea nchini India ambako alikuwa akipokea matibabu. Rais wa Kenya William Ruto, pamoja na Rais wa zamani Uhuru Kenyatta, familia ya Raila Odinga, na viongozi wakuu wa serikali, wameongoza mapokezi […]