WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 16, 2025 ni mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Tanga, kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Usagara. Madhimisho hayo ambayo hufanyika kila mwaka yanalenga kuamsha ari ya uzalishaji wa mazao ya chakula ikiwemo yaliyoongezewa virutubishi; kuhimiza ulaji bora na kuongeza […]