Ifahamu mikataba iliyomuweka Raila Odinga ‘madarakani’ licha ya kugombea urais mara tano bila ushindi

Jana Jumatano Okotba 15, 2025 ilikuwa asubuhi tulivu huko Kerala, India – hadi habari zilipoibuka kuwa Raila Odinga, kiongozi wa upinzani wa Kenya na Waziri Mkuu wa zamani, ameaga dunia kwa mshtuko wa moyo wakati wa matembezi ya asubuhi. Alikuwa na umri wa miaka 80. Tangazo hilo lilileta tetemeko katika nyanja ya kisiasa ya Kenya, …