Watoto wenye changamoto ya afya ya akili wajengewa kituo

Katika kuhakikisha kuweka wazingira bora kwa watoto wenye changamoto ya afya ya akili, benki ya Exim Bank Tanzania imekabidhi rasmi Kitengo kilichokarabatiwa cha Afya ya Akili kwa Watoto na Vijana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika kuendeleza dhamira yake ya kuboresha upatikanaji wa huduma za afya na kuunga mkono …