Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, ameahidi kuboresha mazingira ya biashara kuvutia uwekezaji wa ndani na nje.