DAR ES SALAAM: ZAIDI ya wanaume milioni tano hufariki kila mwaka katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutokana na saratani ya tezi dume, huku sababu kubwa ikiwa ni mabadiliko ya umri. Takwimu hizo zimetolewa leo Oktoba 15,2025 na Mkurugenzi wa Hospitali ya Heameda, iliyopo Bunju, Wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam, Dk … The post Watu milioni 5 hufariki tezi dume kwa mwaka EAC first appeared on HabariLeo .