DAR ES SALAAM:NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), amewataka mashabiki wa michezo nchini kujitokeza kwa wingi kushuhudia mashindano ya kimataifa ya mpira wa kikapu “Road to BAL”, yatakayofanyika kesho (Ijumaa) katika Uwanja wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST), jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo ya raundi ya awali … The post ‘Mwana FA’ awaita mashabiki “Road to BAL’ first appeared on HabariLeo .