TIMU ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia (WB), Shirika la Kimataifa la Kazi (ILO), Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Menejimenti ya Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na timu ya kusimamia mradi wa RISE leo Oktoba 16, 2025 wamekutana na kujadiliana kuhusu maendeleo ya mradi wa RISE (Mid-Term Review) katika jijini Dodoma. SOMA: Sh bilioni 822 … The post Wadau wajadili maendeleo mradi wa RISE first appeared on HabariLeo .