Sh5.2 bilioni kulipa fidia wanaopisha ujenzi uwanja wa ndege Musoma
Serikali imetoa zaidi ya Sh5.2 bilioni kwa ajili ya kuwalipa fidia wakazi 58 wa Mtaa wa Bondeni, Kata ya Kamunyonge, Manispaa ya Musoma mkoani Mara ili kupisha mradi wa upanuzi na ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma