Wadau wawafuta vumbi wanafunzi Shule ya Losoito Manyara

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Losoito wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wataondokana na adha ya msongamano kwenye madarasa baada ya wadau wa elimu kuwajengea madarasa mengine mawili.